AINA ZA SHULE
كاليندا يا شول
WALIMU NA WAFANYAKAZI
KUJUA KIINGERZA
كوساجيلي شوليني
جوا هاكي نا واجيبو واكو
روسا يا لوغا
KUHUDHURIA
ماهيتاجي يا تشانجو
KUUNGA MTOTO WAKO MKONO NYUMBANI
رسليمالي الزايدي
Aina za shule
كونا عينا زا شول زا عمري توفاوتي:
كاليندا يا شول
Wajibu wa mwalimu / Wafanyikazi
Waelekezi
وائلكيزي حوافونزي وانافونزي. Wamesimamia shule. كونا آينا توفوتي يا والكيزي:
Mwelekezi mkuu: Mwelekezi mkuu anasimamia wilaya nzima ya shule.
المعلم mkuu: Kila shule kwa wilaya ina mwalimu mkuu ambaye anasimamia shule. Mwalimu mkuu huwasiliana na walimu، wanafunzi، na familia za wanafunzi.
مسعديزي مكو: Kila shule ina moja au zaidi wakuu msaidizi anayewasaidia shule kuu.
واليمو
وليمو هوفونزا وانافونزي داراساني. كونا عينا توفاوتي زا وليمو:
وليمة ودراسة: Chekechea hadi gredi la 5، wanafunzi huwa wanashinda na mwalimu wao wa darasa siku nyingi za shule. Mwalimu wao wa darasa wakati mwingi hufunza masomo mengi ya shule، kama vile kusoma، hesabati، Masomo ya jamii، na sayansi.
واليمو واتالامو: كاتيكا شول يا كاتي (غريدي 6-8) نا شول يا أوبيلي (غريدي 9-12) ، وانافونزي وانا واليمو توفاوتي أمباو واميفوزو كوا سييمو فولاني يا أوتالامو ، كاما فيل سانا زا لوغا يا كينجيريزا ، هسباتي يا جوانسي ، ماسومو يا مويلي ، صنعاء ، نا كادليكا ....
وليمو وكوكوزا لوغا (ELD): Walimu wa ELD wanashirikiana na walimu wa darasa na ujuzi kukuza uwezo katika lugha ya Kiingereza wa kusikiliza، kuzungumza، kusoma، na kuandika، na pia ufahamu wa kitamaduni.
معلم وأليم شبيشيلي: Walimu wa Elimu spesheli wanawaunga mikono wanafunzi ambao wanamahitaji tofauti ya kimasomo، kihisia، na / au ya kimwili.
Wafanyikazi wa shule
كاندو نا واليمو ، كونا وافانيكازي وينجين أمباو واناسيديا وانافونزي نا فاميليا ، كاما فيل:
مشوري وشول: Washauri wa shule wanashauri wanafunzi kwa Elimu yao، kuwasaidia kuchagua madarasa na kubuni ratiba، na pia kuwasaidia na mahitaji yao ya kijamii، kihisia، na ya kitabia. Wanaweza kukusaidia kupata ujumbe kuhusu shule na misaada na rasilimali ya jamii.
Muuguzi wa shule: Muuguzi wa shule anasaidia wanafunzi ambao ni wagonjwa au wameumia.
Mtaalamu wa rasilimali za shule na familia (SFRS): Mtaalamu wa rasilimali za shule na familia wanawasaidia wanafunzi na familia ambazo wana mahitaji mbali mbali za kijamii، kitabia، na ya kimwili. Wanaweza Saidia kwa mawasiliano ya nyumbani / shule kwa kutembelea nyumba na kuungananisha familia kwa huduma za shule na jamii.
Afisa wa Rasilimali za Shule (SRO): SRO ni afisa wa polisi waliohitimu amabao wanasaidia wanafunzi na wafanyikazi kuwa salama katika nyanja za shule.
كراني: Karani wa shule anafanya kazi kwa afisi kuu، na anaweza Saidia kuunganisha familia na waelekezi na walimu. Wanaweza pia kuweka rekodi kama mtoto wako ako shuleni au ametohudhuria. Unafaa kuwasiliana na karani wa shule au afisi ya kuhudhuria kama mtoto wako hatakuwa shuleni.
Haki za Wazazi na wajibu
Kama mzazi alio na mtoto kwa mfumo wa shule wa Marekani، ukona haki na wajibu. جدوالي هيلي لينافوبيشا زوتي:
أوناهاكي يا:
- Kujua jinsi mtoto wako anaendelea shuleni
- Kukutana na walimu kuhusu kazi ya shule ya mtoto wako na hatua za kiakademia
- Kujua ni nini mtoto واكو أنسوما شوليني
- Kuomba shule msaada kama mtoto wako anawakati mgumu kuona، kusikia، au kusoma shuleni
- Kujua maana za karatasi za shule kabla ya kuzitia sahihi
- Kujua ni programu zipo zenye zinaweza Saidia mtoto wako
- كوجوا متوتو واكو أكيوا ماشاكاني نا جينسي شول إيتاكافيوفانيا
- Kuenda mikutano ya shule
- Kupokea misaada ya utafsiri wa lugha unapokutana na walimu au wafanyikazi wa shule.
أوناواجيبو وا:
- Kuhakikisha mtoto wako anaenda shuleni kwa wakati، kila siku، pengine kama ni mgonjwa.
- Kuhakikisha mtoto wako anafanya kazi yake ya ziada kila siku
- Kuhakikisha mtoto wako ni Safi ؛ أمليشوا. anavalia nguo safi، na analala vizuri.
- Kuhakikisha mtoto wako anaelewa jinsi ya kujibeba shuleni na anafuata sheria zilizobuniwa na mwalimu. شيريا هيزي زينة كوا:
- Lazima watoto wasikilize mwalimu na kufanya vile mwalimu anawaambia.
- Wanaiunua mikono yao ili wazungumze.
- Wanasimama kwa foleni na kutembea pamoja shuleni.
- Hawagongi au kupigana.
- هاواتشي واتوتو وينجين.
- حواتومي مانينو مابايا.
- Wanafanya kazi pamoja na wanafunzi wengine.
- Wanakuja kwa wakati darsani.
- Wanamaliza kazi yao ya ziada na kuileta hadi shuleni.
Kuunga mtoto wako mkono nyumbani
Unaweza kuwa unawaza jinsi، kama mzazi، vile unaweza kusaidia kuunga mkono hatua za kilingua na kiakedemia za mtoto wako. نديو هيزي نامنا كادها:
- Kuwa na subira. Elewa kuwa kujua lugha ni njia ngumu، na ni ndefu.
- Kujua lugha mpya inachukua nguvu nyingi sana. هاكيكيشا متوتو واكو أناباتا مابومزيكو يا كوتوشا.
- Tayarisha mahala palipotulia na wakati wa kawaida wa kufanya kazi ya ziada au kusoma.
- Zungumza na mtoto wako kuhusu chenye kinafanyika shuleni.
- Wasiliana na mwalimu wa mtoto wako na ushiriki kwa mikongamano ya mzazi-mwalimu.
- هيميزا متوتو واكو كوكوونيشا كازي زوتي زا شول.
- Tunza lugha yako ya kaisili. Kuwa mbilingua ni uwezo mzuri sana!
- Kusoma na mtoto wako kwa usomi na uandishi wowote kwa lugha ya kiasili utahamisha na kuunga mkono kukuza kwa usomi na uandishi kwa lugha ya Kiingereza.
راسيليمالي يا فاميليا نا جامعي
-
Kituo cha wakimbizi
-
شول زا جامعي
-
Elimu ya watu wazima / jopo la usomi na uandishi
-
زهاناتي زا عافية